Day February 7, 2024

Tangazo la Kujaza Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu-TUCTA

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania-TUCTA, linawatangazia wanachamawa Vyama vyake Shiriki kuwa, kutakuwa na kikao cha Baraza Kuu la TUCTAKinachotarajiwa kufanyika mwezi Machi 2024, ambapo pamoja na masuala mengine,Baraza kuu litafanya Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu, TUCTA.Tangazo…