MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA USALAMA AFYA MAHALI PA KAZI 2023 (SAFETY DAY)
KAULI MBIU: ATHARI ZA MABADILIKO YATABIA YA NCHI KATIKA USALAMA WA AFYA KAZINI: SAJILI ENEO LA OSHA KATIKA HARAKATI ZA KUPUNGUZA ATHARI HIZO
KAULI MBIU: ATHARI ZA MABADILIKO YATABIA YA NCHI KATIKA USALAMA WA AFYA KAZINI: SAJILI ENEO LA OSHA KATIKA HARAKATI ZA KUPUNGUZA ATHARI HIZO
7 Machi 2024, DAR ES SALAAM Wafanyakazi wanawake nchini wametakiwa kuweka katika vipaumbele vyao suala ya kujiendeleza kielimu ili kuweza kuleta mabadiliko katika sehemu zao za kazi sambamba na kujiimarisha kiuchumi. Wito huo umetolewa na Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha…
Arusha, Tanzania – Tarehe 6 Aprili, 2024, kikao muhimu kilifanyika Arusha huku wadau wakijiandaa kwa kikao cha maandalizi ya Mei Mosi. Mkutano huu, uliofanyika kwa lugha ya Kiswahili, ulihamaisha na kauli mbiu isemayo: “Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao…