Kikao cha Maandalizi ya Mei Mosi Arusha: Nyongeza ya Mishara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha.
Arusha, Tanzania – Tarehe 6 Aprili, 2024, kikao muhimu kilifanyika Arusha huku wadau wakijiandaa kwa kikao cha maandalizi ya Mei Mosi. Mkutano huu, uliofanyika kwa lugha ya Kiswahili, ulihamaisha na kauli mbiu isemayo: “Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao…